Tarehe 24 January 2025 Rais Tshisekedi alikatiza ziara yake mjini Davos baada ya mapigano makali kuzuka nchini mwake.
Kuna uwezekano mkubwa kwamba ndani ya simu yako ya mkononi kuna kiasi kidogo cha chuma kilichoanza safari yake ya kuzikwa ...
RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema kuwa amefanya mazungumzo ya tija na Katibu wa Marekani Marco Rubio na kuelewana kuhusu hitaji la kuhakikisha kusitishwa kwa mapigani katika DRC Mashariki. Kagame ...
"Wananchi wasigombanishwe na migogoro ya mipaka kati ya Wilaya za Longido na Monduli wekeni mipaka ili maendeleo yapatikane na wizara hii itatoa ushirikiano saa zote na RC Paul Makonda pale unapoona ...