SERIKALI imesema kuna ongezeko la viumbe vamizi hasa magugu maji katika vyanzo vya maji nchini, hali inayotishia kuongezeka ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amesema mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Julius Nyerere ...
LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajia kurejea tena leo baada ya kusimama kwa muda kupisha mashindano ya Kombe la Mapinduzi ...
WAKUU wa nchi na serikali kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), wamelaani vita vinavyoendelea Mashariki ...
WAKAZI watatu wa kijiji cha Bashnet, Babati mkoani Manyara, wamefariki dunia kwa madai ya kunywa pombe kali ambazo bado ...
KATIKA Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika kuanzia Desemba 21, mwaka huu huko Morocco, Tanzania (Taifa ...
Heads of State and government have strongly condemned escalating hostilities in eastern region of the Democratic Republic of Congo (DRC). Elias Magosi, the SADC executive secretary, said at a briefing ...
MWANZONI mwa miaka ya 1970, kulikuwa na wimbo mmoja uliokuwa unasikika kwenye redio ulioshangaza watoto wengi wa wakati huo. Natumai wakubwa hawakushangaa, lakini watoto wengi walionyesha kushangaa, k ...
BUNGE limempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati Afrika (Mission 300) Mwaka 2025 kwamba, umeiletea sifa ya kipekee Tanzania na kutaja namna Watanzania walivyonufaika ...
SERIKALI imeridhia hoja ya kuongeza muda wa likizo ya uzazi kwa mwajiriwa ambaye atajifungua mtoto njiti kwa kujumuisha na muda uliobaki kufikia wiki 40 za ujauzito huku baba akipewa siku saba za mapu ...
SERIKALI iko katika hatua za mwisho za kutoa fedha kwa ajili ya vituo vya afya vya kimkakati katika majimbo na ukamilishaji wa maboma yaliyojengwa na wananchi. Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, al ...
SERIKALI imesema kwa mwaka 2024 iliwapokea na kuwapa huduma jumla ya wanawake na wasichana 213, 675 waliopata changamoto ya kuharibika kwa ujauzito nchini. Vilevile, serikali imeliarifu Bunge kuwa kat ...