KOCHA wa Kiluvya United, Zulkifri Iddi 'Mahdi' amesema moja ya malengo ya timu hiyo kwa sasa ni kuendelea kusalia msimu ujao wa Ligi ya Championship, baada ya kuona nafasi waliyopo ni finyu ...
KLABU ya mbio za magari ya Mount Uluguru imetwaa taji la klabu bora ya mwaka 2024 na kupewa tuzo maalum katika hafla ya utoaji zawadi iliyofanyika mwishoni mwa juma katika Hoteli ya ...
KOCHA msaidizi wa TMA Stars, Augustino Thomas ameweka wazi kuwa makosa ya kibinadamu ya kujirudia rudia ambayo yamekuwa yakifanywa na makipa wao yamechangia timu hiyo kutokuwa na mwenendo ...
KIKOSI cha Mtibwa Sugar kimeendeleza umwamba baada ya kuichapa Cosmopolitan mabao 3-0 wikiendi iliyopita kwenye Uwanja wa Manungu Complex Morogoro, ukiwa ni ushindi wa 14 wa timu hiyo msimu ...
BAADA ya Lucas Sendama kujiunga na Stand United 'Chama la Wana' katika dirisha dogo lililofungwa Januari 15, mwaka huu, mshambuliaji huyo amesema ni wakati sahihi kwake wa kupambana na ...