BEKI wa pembeni wa Chelsea, Ben Chilwell ameripotiwa kuwa kwenye hatua za mwisho kukamilisha uhamisho wake wa kwenda kujiunga na Crystal Palace ili kuondokana na nyakati ngumu za huko ...
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Mashujaa FC, Ismail Mgunda ameanza rasmi mazoezi ya kuitumikia AS Vita ya DR Congo iliyomsajili hivi karibuni baada ya kukamilisha taratibu zote zilizotakiwa nchini humo.
OFISA Mtendaji Mkuu wa Pamba Jiji, Peter Juma Lehhet amesema mojawapo ya malengo yake makubwa ni kuhakikisha timu hiyo ya jijini Mwanza inasalia Ligi Kuu Bara msimu ujao, huku akiomba ...
KOCHA Mkuu wa Alliance Girls, Sultan Juma amesema kilichowaponza kudondosha pointi dhidi ya Yanga Princess ni pamoja na kuchelewa kwa vibali vya wachezaji wake.
WAKATI Mbwana Samatta anasajiliwa Aston Villa ya England nchi ilisimama kwa shangwe kuona kijana wake akipata nafasi katika moja ya ligi kubwa duniani na maarufu.
KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta tayari ameshafanya usajili mkubwa kwa ajili ya dirisha la majira ya kiangazi akifanya hivyo hata kabla ya dirisha hili la majira ya baridi kufungwa.