Ndani ya siku chache tu tangu kuundwa kwa M23, mapigano makali yalizuka kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 katika wilaya ya Rutshuru.
JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) leo Januari 29, inatarajiwa kuketi katika Kikao cha dharura cha wakuu wa mataifa katika juhudi nyingine za kuzuia vita kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ...