Baada ya tamko hilo, Rais wa Rwanda, Paul Kagame, alikanusha tuhuma hizo, akizitaja kuwa za uongo na kinyume na mazungumzo aliyokuwa nayo na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa. Kagame alidai kuwa ...