Uamuzi huo umefikiwa kufuatia uamuzi wa Simba kugomea kucheza mechi ikidai imenyimwa haki ya kikanuni ya kufanya mazoezi ...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema vijana wenye elimu na maarifa ya dini ni nguzo muhimu ya ustawi na maendeleo katika ...
Arusha. Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha, Isack Amani amewataka wanawake na wasichana nchini kujiheshimu, kujiamini na ...
Arusha. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema amani ya Taifa la Tanzania iko mikononi mwa ...
Maadhimisho hayo yalipangwa kuanza saa tatu asubuhi, yalianza kuchangamka mchana baada ya viongozi wakuu kuingia ukumbuni.
Hayo yamebainishwa na ripoti ya Mental State of the World 2024, iliyotolewa na taasisi mashuhuri kwa utafiti wa afya ya akili ...
Dk Nindi amesema mifumo ya kisheria na miongozo ya ushirika inapokiukwa ndipo migogoro huibuka na rasilimali za ushirika ...
Mathalani, Ibara ya 13(6) (b) ya Katiba yetu ya mwaka 1977, inasema ni marufuku kwa mtu aliyeshtakiwa kwa kosa la jinai ...
Nachingwea. Chama Kikuu cha Ushirika cha Runali kimetoa msaada wa vifaatiba katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea ili ...
Tarehe mpya ya mchezo huo itatangazwa mara baada ya uchunguzi huo kukamilika ili kuhakikisha haki na usawa vinazingatiwa ...
Kifo cha mwandishi huyo kinafanya idadi ya waliofariki kwenye ajali hiyo kufikia watano huku majeruhi wengine wakiendelea ...
Arusha. Mamia ya wananchi wa Mkoa wa Arusha na mingine ya jirani wamejitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya ...