Wakizungumza leo Januari 31 katika kikao cha bajeti, baadhi ya madiwani wamesema stendi ya mabasi ya Mji wa Mbalizi haifanani na hadhi ya wilaya hiyo licha ya kuwa sehemu ya kuingiza fedha ...
Shirika la Associated Press limeripoti kuwa katika taarifa yake kwa umma leo Jumamosi, Februari Mosi, 2025, wizara hiyo imesema mashambulizi hayo yamefanyika usiku kucha maeneo mbalimbali ya ...
Kutokana na uelewa huo mdogo wa jamii, wadau hao wameiomba Mahakama kutoa elimu zaidi ili kujenga imani hususan kwa watuhumiwa ambao kesi zao zinasikilizwa kwa njia ya mtandao.
Baada ya mchakato wa muda mrefu hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 toleo la mwaka 2023, huku akitaja mambo matatu yalimsukuma kutaka ...