BEKI wa pembeni wa Chelsea, Ben Chilwell ameripotiwa kuwa kwenye hatua za mwisho kukamilisha uhamisho wake wa kwenda kujiunga na Crystal Palace ili kuondokana na nyakati ngumu za huko ...
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Mashujaa FC, Ismail Mgunda ameanza rasmi mazoezi ya kuitumikia AS Vita ya DR Congo iliyomsajili hivi karibuni baada ya kukamilisha taratibu zote zilizotakiwa nchini humo.