KOCHA Mkuu wa Alliance Girls, Sultan Juma amesema kilichowaponza kudondosha pointi dhidi ya Yanga Princess ni pamoja na kuchelewa kwa vibali vya wachezaji wake.
KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta tayari ameshafanya usajili mkubwa kwa ajili ya dirisha la majira ya kiangazi akifanya hivyo hata kabla ya dirisha hili la majira ya baridi kufungwa.
FAMILIA ya soka nchini imepata pigo jingine baada ya nyota wa zamani wa Nazareth ya Njombe, Simba, Mtibwa Sugar na Rayon Sports ya Rwanda, Geoffrey Mhando kufariki dunia asubuhi ya leo ...
SHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT) imeweka wazi itashirikiana na mwanariadha Gabriel Geay kuhakikisha mashindano ya Mbio za Nyika aliyoyaanda nyota huyo yanafanyika kwa ubora mkubwa.
KOCHA wa Kiluvya United, Zulkifri Iddi 'Mahdi' amesema moja ya malengo ya timu hiyo kwa sasa ni kuendelea kusalia msimu ujao wa Ligi ya Championship, baada ya kuona nafasi waliyopo ni finyu ...
KUSHINDA mechi ya ufunguzi wa michuano ya ICC League B dhidi ya Italy na tatu nyingine zinazofuata, ndio azma kuu ya timu ya Tanzania katika ligi hii kimataifa inayoanza kuchezwa rasmi ijumaa ...
MADINA Idd na Vicky Elias wamedai zoezi ya kuzisoma changamoto za viwanja vya Leopards Creek, Mpumalanga, Afrika Kusini linaendelea vyema kabla ya michuano ya gofu ya wanawake wa Afrika ...